1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
HistoriaUjerumani

Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani - Upinzani wa wenyeji

4 Januari 2024

DW Kiswahili inakuletea mfululizo wa simulizi inayotizama historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika. Katika sehemu ya pili ya simulizi hiyo tuliyoipa jina la ´Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani´ Bruce Amani anakueleza ni vipi Ujerumani ilikabiliwa na upinzani kutoka kwa wenyeji wa maeneo waliyoanzisha makoloni.

https://p.dw.com/p/4ar7E