1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
HistoriaUjerumani

Kivuli cha Ukoloni - Mauaji ya kwanza ya halaiki ya Namibia

4 Januari 2024

Katika sehemu ya 4 ya mfululizo wa simulizi inayotizama historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika tuliyoipa jina la ´Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani´ Bruce Amani anakueleza ukatili uliofanywa na wakoloni wa Ujerumani nchini Namibia uliosababisha mauaji ya kwanza ya halaiki ya jamii ya Waherero mnamo mwaka 1904.

https://p.dw.com/p/4arqR