1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kingunge asema hajutii kuhama CCM

Mohammed Abdulrahman Mohammed7 Oktoba 2015

Mmoja wa waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Kingunge Ngombale Mwiru, ameachana na chama chake hicho cha zamani na katika mazungumzo haya na DW anazungumzia sababu zake na mustakabali wa siasa za taifa hilo la Afrika Mashariki.

https://p.dw.com/p/1Gjnh