Makala ya mbiu ya mnyonge inatupia jicho kilio cha wachimbaji wadogo wadogo wa madini ya Almasi katika mgodi wa Almasi wa Williamson Diamonds uliopo Shinyanga nchini Tanzania, ambao huuza Almasi kwa bei ya hasara kutokana na wao kutokuwa na uelewa wa bei ya madini hayo katika soko la dunia. Ungana na Veronica Natalis.