1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilio cha njaa, Somalia

14 Oktoba 2022

Hali ya ukame inazidi kutishia taifa la Somalia na kuathiri maelfu ya watu. Watoto wanakufa na mifugo inaangamia kwa kukosa chakula kutokana na ukame uliodumu kwa muda mrefu. Tizama video hii.

https://p.dw.com/p/4ICvW