1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kijiji kilichotazamwa kama alama ya mgawanyiko kwa Ujerumani

Sudi Mnette9 Oktoba 2019

Mödlareuth ni kijiji ambacho kimegawanyika kiutawala baina ya majimbo mawili ya Ujerumani. Sehemu moja jimbo la Bavaria na sehemu nyingine Thuringia. Kijiji hichi kinatazamwa kama alama ya mgawanyiko kwa Ujerumani kwa sababu hadi 1990 sehemu moja ilikuwa upande wa iliyokuwa Ujerumani Mashariki na mwingine Magharibi.

https://p.dw.com/p/3SRU3