JamiiKijana wa Kikenya atafuta suluhisho la usalamaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiGrace Kabogo26.01.202226 Januari 2022 Kujisikia salama kunaimarisha biashara yako na ni bora kwa afya yako, ndivyo anavyoamini Brian Kimani. Kijana wa Kikenya, Brian Kimani ambaye amevumbua kifaa cha usalama kukufanya ujisikie salama ukiwa nyumbani na kazini; wakati wowote. https://p.dw.com/p/467QxMatangazo