1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Wagombea wa UDA watoa tahadhari juu ya usalama Mombasa

1 Agosti 2022

Huku ikisalia takribani wiki moja hadi kufanyika uchaguzi mkuu nchini Kenya, wagombea wa nyadhifa mbalimbali kwa tiketi ya kambi ya UDA katika Kaunti ya Mombasa wamesema wamefanyiwa fujo na wapinzani wao, na kuonya kuwa hawataendelea kuvumilia.

https://p.dw.com/p/4F7Tg