SiasaKenya: NASA yaelekea wapi?03.11.20173 Novemba 2017Wakenya wamefanya uchaguzi wa marudio uliosusiwa na muungano mkuu wa upinzani, NASA. Kufahamu kuhusu hatua ambazo NASA inataka kuchukua, DW imezungumza na mmoja wa vigogo wa juu kabisa, Musalia Mudavadi.https://p.dw.com/p/2mxW0Picha: picture alliance/AP Photo/K. SenosiMatangazoJ3 01.11 Kenya Mudavadi - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio