1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya katika tahadhari kuhusu ebola

17 Juni 2019

Kenya iko katika tahadhari kuhusu uwezekano wa mripuko wa ugonjwa wa ebola nchini humo, baada ya mwanamke mmoja kuonyesha dalili za ugonjwa huo. Uchunguzi unafanywa kuthibitisha au kuondoa hofu kutokana na ugonjwa huo.

https://p.dw.com/p/3KaLt