1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kazi – Kipindi 7 – Vijana wasiyo na ajira

9 Novemba 2010

Hatutozungumzia juu ya taaluma fulani, lakini ni juu ya wale wote ambao hawana ajira.Idadi ya wasiyo na ajira hususan miongoni mwa vijana imeongezeka sana barani Afrika.Kila kijana mmoja kati ya watano hana ajira.

https://p.dw.com/p/Q2FX