Afrika wiki hii inayamulika matukio yaliyojitokeza barani Afrika wiki nzima.Nchini Tanzania ni mjadalla ulioibuka baada ya rais Samia Suluhu kuruhusu kufunguliwa vyombo vya habari vilivyofungiwa lakini pai ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali wa mahesabu iliyoibua mazito ya hali ya upotevu wa fedha na hasara nchini humo yawaamsha waliolala. Sikiliza Afrika wiki hii na Saumu Mwasimba