1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CUF yapinga taarifa ya CCM ya kurejewa uchaguzi Zanzibar

Grace Kabogo29 Desemba 2015

Chama cha Wananchi CUF visiwani Zanzibar leo kimeitisha mkutano na waandishi wa habari, kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu kauli zinazotofautiana ambazo zimetolewa juzi na Chama cha Mapinduzi CCM visiwani humo. Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Ismail Jussa anfafanua zaidi kuhusu hasa madhumuni ya kikao hicho.

https://p.dw.com/p/1HUx7