1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dokta Slaa asisitiza kutokuwa na upande kisiasa Tanzania

2 Agosti 2023

Katika mahojiano ya Kinagaubaga, aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Sweden,Dokta Willibrod Peter Slaa adai kusalia kuwa msema kweli katika kila upande wa kisiasa nchini Tanzania panapohusika suala lenye maslahi na taifa. Zaidi msikilize akizungumza na Sudi Mnette.

https://p.dw.com/p/4UfyJ