1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Karzai wa Afghanistan ana wasiwasi na makundi ya waislamu wenye itikadi kali nchini:

14 Novemba 2003
https://p.dw.com/p/CEDg
KABUL: Rais Hamid Karzai wa Afghanistan ameonya juu ya kuimarika zaidi nguvu za makundi ya waislamu wenye itikadi kali miaka miwili baada ya kupinduliwa utawala wa Taliban. Maadui wa wasiruhusiwe kuichafua tena Afghanistan, - kwa mujibu wa tangazo la Karzai. Wakati huo huo akaonya juu ya uwezekano wa mashambulio mepya ya wapiganaji wa Taliban. Wakati huo huo shirika la Maendeleo la Ujerumani limeanzisha kazi zake mjini Kundus kaskazini mwa Aghanistan.