1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kandanda: Ujerumani yapambana na Tunisia

18 Juni 2005
https://p.dw.com/p/CF2I

Kandanda:

Timu ya Taifa ya Ujerumani leo jioni, katika mechi yake ya pili, itachuana na Tunisia katika kinyang’anyiro cha kugombea Kombe la Mashirikisho, Confederations Cup. Ikiwa Ujerumani itashinda kama vile ilivyoishinda Australia itakuwa na nafasi kubwa ya kuingia nusu fainali. Argentina itapambana na Australia leo jioni mjini Nürnberg, hapa Ujerumani.