1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jumuiya ya kimataifa yasemaje kuhusu uchaguzi Tanzania?

30 Oktoba 2020

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, pamoja na kupongeza uchaguzi kufanyika kwa amani, umekosoa kutokana na malalamiko yaliyotolewa na upinzani ya udanganyifu na kutaka serikali kushughulikia kwa uwazi malalamiko hayo. Lilian Mtono amezungumza na mhadhiri wa masuala ya diplomasia na usuluhishi wa migogoro aliyeko Dar es Salaam, Arestides Kabendera

https://p.dw.com/p/3keGF