1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jukumu la kijeshi nje ya mipaka

10 Februari 2014

Jeshi la Ujerumani limekuwa likiendesha operesheni za kijeshi nje ya ardhi ya Ujerumani likiwa kama sehemu ya kampeni za kimataifa kupambana na ugaidi duniani.

https://p.dw.com/p/1B60q
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, Ursula von der Leyen (kulia) ziarani Afghanistan, ambako Ujerumani ina jeshi lake.
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, Ursula von der Leyen (kulia) ziarani Afghanistan, ambako Ujerumani ina jeshi lake.Picha: Reuters

Katika makala haya ya Sura ya Ujerumani, Oummilkher anaangazia dhima ya jeshi la Ujerumani katika wakati ambao wito unatolewa kwa taifa hilo kuongeza mchango na ushiriki wake nje ya mipaka yake.

Mwandishi: Ouumilkherm
Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi