1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kupambana na virusi vya Ukimwi Afrika

Wakio Mbogho3 Februari 2023

Bara la Afrika, linazidi kuhusika kwenye mapambano dhidi ya virusi vya ukimwi. Juhudi zinazopewa kipau mbele ni pamoja na mbinu mpya za matibabu, upatikanaji wa chanjo, kuhakikisha kuna usawa katika kufikia huduma za afya hasa kati ya wafungwa, watu wanaoshiriki ukahaba na makundi mengine ya watu waliotengwa, fahamu mengi kwenye makala ya Afya Yako.

https://p.dw.com/p/4N3ba