1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kuitengeza bustani ya Kamukunji

21 Mei 2021

Bustani ya Kamukunji ina umaarufu mkubwa kutokana na shughuli za kisiasa za vyama vingi nchini Kenya. Eneo hilo limekuwa likitumiwa na wanasiasa kuwasilisha sera za vyama vingi tangu jadi. Hata hivyo, wahuni na wauza mihadarati walilivamia na likawa eneo ambalo halitamaniki.

https://p.dw.com/p/3tiGM

Kwa sasa vijana wanaojali mazingira wamelisafisha na ni eneo la kubarizi. Thelma Mwadzaya anakufafanualia kwa undani zaidi katika Makala ya Mtu na Mazingira kuhusu juhudi za kuitengeza bustani ya Kamukunji.