1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je wanafunzi wavae sare za shule au wasivae?

16 Machi 2017

Utamaduni wa kuvaa sare za shule ni wa muda mrefu katika nchi nyingi. Lakini mjadala iwapo wanafunzi wavae sare za shule au kuruhisiwa kuvaa mavazi ya kawaida umekuwepo kwa muda mrefu. Bruce Amani atakuelezea kwa undani kuhusu mjadala huo katika kipindi cha Vijana Mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/2ZGsx