1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je wafahamu tiba asili dhidi ya ugonjwa wa Spina Bifida?

Lillian Mtono19 Agosti 2022

Spina bifida ni matatizo ambayo huathiri eneo la uti wa mgongo na huonekana wakati mtoto anapozaliwa, kwa kuwa hili ni tatizo la kimaumbile linaloanzia tumboni kwa mama. Watoto wanaozaliwa na tatizo la Spina Bifida ama mgongo wazi, huwa na kama uvimbe mkubwa mgongoni.

https://p.dw.com/p/4FmmF