Katika makala ya Vijana Mchaka Mchaka, Bruce Amani anatizama mtindo mpya wa watumiaji wa mitandao ya kijamii kufungua akaunti bandia ili kuweka mambo ambayo wasingeweza kuyaweka katika akaunti halisi. Je, wew unayo akaunti bandia au ungependa kusikia mawazo ya vijana? SIkiliza makala hii.