1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Ulaya inataka kuibadili sera yake kuhusu Marekani?

Bakari, Ubena18 Aprili 2023

Ulaya imekua mshirika wa karibu na wa miaka mingi wa Marekani. Kuanzia ushirikiano wa kiuchumi, kijeshi na hata kidiplomasia. Lakini kauli ya hivi karibuni ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ya kwamba Ulaya haitakiwi kuendelea kufuata misimamo ya Marekani imezusha hali ya mtafaruku

https://p.dw.com/p/4QFxE