1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, ukosoaji dhidi ya Qatar ni wa haki?

Saumu Njama Athuman17 Novemba 2022

Zimesalia siku 4 tu kabla ya michuano ya kandanda ya Kombe la Dunia nchini Qatar. Hata hivyo, katika siku za karibuni nchi hiyo mwenyeji wa mashindano hayo imekuwa ikiandamwa kwa shutuma nzito na wakosoaji wake kwa madai ya ukiukaji wa haki za binaadamu. Saumu Njama amezungumza na mchambuzi wa masuala ya michezo, Hassan Ali Kauleni kuhusu suala hilo.

https://p.dw.com/p/4Jg2c