1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUingereza

Je, Sunak atafanikiwa kuwapeleka wahamiaji Rwanda?

16 Novemba 2023

Waziri Mkuu wa Uingereza, Rish Sunak amesema atasaini mkataba mpya na Rwanda ili kuurejesha mpango wake kuwapeleka Rwanda baadhi ya wahamiaji baada ya uamuzi wa mahakama ya juu kuonesha kuwa ni kinyume cha sheria. Sudi Mnette amezungumza na Ahmed Rajab, mchambuzi wa siasa za kimataifa kutaka kufahamu iwapo dhamira hiyo ya Sunak itafanikiwa.

https://p.dw.com/p/4Yrwq