1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, serikali ya Ruto imezuia posho za mtangulizi wake ?

Jacob Bomani11 Juni 2024

Vuta ni kuvute kati ya Rais William Ruto na rais mstaafu Uhuru Kenyatta kuhusiana na maslahi ya rais huyo mstaafu kupuuzwa na serikali iliyoko madarakani kwa sasa. Msemaji wa rais mstaafu Kenyatta alitangaza Jumatatu 10.06.2024 kwamba bwana Kenyatta anatumia fedha zake mwenyewe kuendesha shughuli zake. Ni yapi maslahi ya rais mustaafu kenya ? Bobby Mkangi ni mchambuzi wa siasa za Kenya.

https://p.dw.com/p/4gv7C