JamiiJe ni nini maana ya 'Kwenda na Wakati'?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAngela Samwel Mdungu-Jokisch05.09.20195 Septemba 2019Je unadhani kwenda na wakati maana yake ni nini? Vijana wanaosema kuwa wanaenda na wakati wanaelewa maana haswa ya kwendana na wakati? Hilo ndilo tunalojadili katika kipindi cha vijana mchakamchaka. Mtayarishaji wa kipindi ni Angela Mdungu. https://p.dw.com/p/3P4M1Matangazo