1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, ni kweli uchaguzi Tanzania umegeuka kituko?

12 Oktoba 2018

Unasemaje kuhusu kauli ya katibu mkuu wa chama tawala cha CCM nchini Tanzania CCM, Dkt. Bashiru Ally, kuwa mfumo wa uchaguzi umegeuka kichekesho na wapigakura wamepoteza imani ya kushiriki katika chaguzi? Vincent Mashinji wa CHADEMA, Humphery Polepole wa CCM, Mwahamisi Singano na Gwandumi Mwakatobe wanaizunguka Meza ya Dauara. Wasikilize.

https://p.dw.com/p/36SY5