1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Kijana unakosha mikono baada ya janga la Corona?

15 Machi 2023

Wakati wa janga la Corona kila kijana alitembea na vitakasa mikono na kila mara walisafisha mikono kujikinga na kuambukizwa virusi hivyo.Katika makala hii Jacob Safari anatathmini na vijana kama bado wanaendeleza utamaduni huo.

https://p.dw.com/p/4OhuO