1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUfaransa

Je, enzi ya Ufaransa kuingilia Afrika imekwisha kweli?

3 Machi 2023

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron yuko ziarani barani Afrika kwa lengo la kuimarisha upya mahusiano yaliyolegalega. Miongoni mwa mengi aliyonukuliwa na vyombo vya habari ni kauli yake kwamba enzi ya Ufaransa kuingilia mambo ya Afrika imekwisha. Kuhusu kauli hiyo ya Macron, Lillian Mtono amezungumza na Delphin Kapaya, mchambuzi wa masuala ya kisiasa huko Kongo.

https://p.dw.com/p/4OETS