1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MichezoArgentina

Je, Croatia itaweza kumzuia nyota wa Argentina Lionel Messi?

Babu Abdalla12 Desemba 2022

Mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia Ufaransa inaendelea kujinoa kuelekea mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la FIFA nchini Qatar dhidi ya Morocco wakati Croatia ikiandaa mbinu za kumzuia nyota wa Argentina Lionel Messi. Sikiliza Makala ya Michezo iliyoandaliwa na Babu Abdalla.

https://p.dw.com/p/4Kpn7