1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Zanzibar wakabiliana na 'Janjaweed'

Caro Robi2 Oktoba 2015

Zikiwa zimesalia wiki tatu tu kabla ya uchaguzi mkuu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo Oktoba 25, taarifa kutoka Zanzibar zinasema usiku wa jana kundi la watu wasiojuilikana lilifanya fujo magharibi ya kisiwa cha Unguja na mapambano kati yao na wakaazi wa hapo yakapelekea watu kadhaa kujeruhiwa. Caro Robi anazungumza na mwandishi wetu wa huko, Salma Said.

https://p.dw.com/p/1GhgB