Mizozo ya umiliki wa ardhi na mipaka ya vijiji katika jamii ya Maasai nchini Tanzania imeendelea kushuhudiwa kwenye eneo hilo. Kwenye makala ya mbiu ya Mnyonge utasikia visa vya kusikitisha miongoni mwa watu wa jamii hiyo. Ungana na Veronica Natalis aliyeandaa makala hii.