1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jamaa anayefufua utengenezaji chokoleti Ivory Coast

8 Juni 2020

Ivory Coast ndilo taifa linaloongoza ulimwenguni kote katika uzalishaji wa kakao. Lakini nchi hiyo haitambuliwi fika kutokana na ubora wa kakao yake. Axdl-Emmanuel Gbaou ambaye ni afisa wa benki aliyegeukia utengenezaji chokoleti anataki kuibadilisha hali hiyo.

https://p.dw.com/p/3dQaz