1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jaala ya wakimbizi wa Kiafrika nchini Brazil

20 Januari 2014

Kwa uzoefu, wakimbizi wanaoikimbia Afrika, hutajwa wale wanaoikimbilia barani Ulaya na Amerika ya Kaskazini, na machache mno yanasemwa juu ya wale wanaokimbilia pande nyengine za ulimwengu, ingawa wapo.

https://p.dw.com/p/1Atoy
Mkimbizi wa Kikongo nchini Brazil.
Mkimbizi wa Kikongo nchini Brazil.Picha: DW/K. Gomes

Katika makala hii ya Mbiu ya Mnyonge, Mohamed Abdul-Rahman anazingatia yanayowasibu wakimbizi nchini Brazil, wakiwa wanatokea kwenye nchi zilizo na zisizo na migogoro ya kisiasa na vita. Kusikiliza makala haya, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.