Viongozi wote wakuu wa mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya, kasoro Uingereza, wanakutana mjini Bratislava// Juhudi za kukombolewa kwa madereva 12 wa Malori kutoka nchini Tanzania na Kenya waliotekwa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo zinaendelea// Kwa muda wa miaka mingi Kenya na Somalia zinavutana juu ya mpaka wa baharini// Hillary Clinton amerejea tena hapo jana katika kampeni.