SiasaIsrael yaishutumu Iran kuhusu nyuklia To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaGrace Kabogo01.05.20181 Mei 2018Israel imeishutumu Iran kwa kuzificha silaha za nyuklia kwenye eneo la siri, baada ya kugundua maelfu ya makabrasha yanayoonesha kuwa Iran imedanganya. Hata hivyo, Iran imezikanusha shutuma hizo ikisema ni propaganda. https://p.dw.com/p/2wxXwMatangazo