1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ipi hatma ya Freeman Mbowe baada ya mashtaka ya ugaidi?

23 Julai 2021

Nchini Tanzania kwa sasa mjadala uliopo ni tuhuma zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)), Freeman Mbowe. Jeshi la polisi hapo limesema mwanasiasa huyo anakabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwemo za kupanga njama za kufanya vitendo vya kigaidi. Sudi Mnette amezungumza na mwanasheria Jenerali Ulimwengu kujua hatma ya mwanasiasa huyo.

https://p.dw.com/p/3xv0a