1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IEBC:Visokoto vilivyonaswa sio vifaa vya msingi vya uchaguzi

Thelma Mwadzaya26 Julai 2022

IEBC imesisitiza kuwa visokoto vilivyonaswa na maafisa wa usalama na kuzusha malumbano kati ya kambi hasimu za kisiasa, sio vifaa muhimu vya uchaguzi. Raia wa Venezuela waliopatikana na vifaa hivyo walifika tena mbele ya idara ya upelelezi, DCI kujibu maswali. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/4EgHs