1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ice-cream zilizotiwa ladha ya vyakula vya kiafrika.

24 Januari 2023

Tapiwah Ghuze ni kijana aliyejiajiri mjini Cape Town kutengeneza Ice-cream kwa kutumia ladha ya vyakula vya kiafrika. Anataka kuondoa ukoloni wa utamaduni wa chakula na kuwafanya Waafrika wajivunie historia yao. Fikiria Ice-Cream iliyotengenezwa kutokana na dagaa waliokaushwa. #vijanamubashara

https://p.dw.com/p/4Me7f