SiasaIbada ya waumini wa imani ya RastaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaGrace Kabogo16.02.201816 Februari 2018Waumini wa imani ya Rasta hufanya ibada yao kila Jumamosi ambapo baada ya hapo hukusanya sadaka ikiwemo pesa, chakula na mavazi na kisha kuwapelekea watu wenye shida. Ibada hiyo hufanyika kwenye bustani ya Lalibela, katika Wilaya ya Nyamagana.https://p.dw.com/p/2snZbMatangazo