1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hitaji la madaktari wa upasuaji wa watoto nchini Kenya

Wakio Mbogho3 Novemba 2022

Makala yetu ya Afya hii leo, inamulika wito wa muungano wa madaktari wa upasuaji wa watoto nchini Kenya. Wanaelezea hitaji la kuongeza idadi ya wahudumu hao nchini, kutokana na ongezeko la matukio ya watoto wanaozaliwa na kasoro kwenye sehemu ya kujisaidia, ya uzazi, ya kupumua na ya kusaga chakula.

https://p.dw.com/p/4Izrd