1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Historia ya Kabila la Wachaga

21 Mei 2020

Katika vidio hii ya utadamaduni, ripota wa DW wa kaskazini mwa Tanzania, Veronica Natlis, anatusafirisha hadi mkoani Kilimjaro kujifunza kuhusu utamaduni wa kabila la Wachaga, kabila maarufu zaidi mkoani Kilimanjaro.

https://p.dw.com/p/3caYm