1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MONUSCO yaongezewa mwaka mmoja kuendelea kuhudumu DRC

Benjamin Kasembe22 Desemba 2022

Raia katika mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamepokea kwa hisia tofauti kuongezewa muda wa mwaka moja kwa ujumbe wa kulinda amani wa Umoja Mataifa nchini Kongo, MONUSCO ambao kwa muda mrefu wameushutumu kushindwa kumaliza machafuko ya vita mashariki mwa nchi hiyo. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu wa Goma Benjamin Kasembe.

https://p.dw.com/p/4LKNc