Hekaya za Bi Khadija: Mwanaadamu haujuwi mwisho wake
Khadija Ali19 Januari 2016
Mkadi na Asumini walijaaliwa watoto watatu kwenye ndoa yao iliyobarikiwa furaha na masikizano na kutengwa mbali na majuto, lakini ndio hivyo tena - mwanaadamu hupajuwa aanzapo na sio aishiapo.
https://p.dw.com/p/1Hg3S
Matangazo
Msikilize Khadija Ali kwenye simulizi hii ya "Mwanaadamu haujuwi mwisho wake" kwa kubonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.