1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Heiko Maas ahitimisha ziara ya Tanzania

Charles Ngereza4 Mei 2018

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Heiko Maas, amemaliza ziara yake nchini Tanzania baada ya kutembelea Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Taasisi ya Kumbukumbu ya Nyaraka za Kesi za Mauji ya Kimbari ya nchini Rwanda, 1994.

https://p.dw.com/p/2xBqV