1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hatari ya kuwa mwanahabari Cameroon

10 Agosti 2023

Mwanahabari wa Cameroon Paul Chouta ambaye pia ni mwanaharakati alitekwa nyara na watu wasiojulikana mnamo Machi 2022. Mwenzake Martinez Zogo aliuawa katika mazingira saw ana hayo mwaka 2023. Chouta angali anapigania haki yake na ya rafikiye. Vijana Mubashara 77Asilimia inaangazia msako huo wa haki.

https://p.dw.com/p/4V15T