1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hatari ya kuchanika kwa kiwamba cha mtoto

Angela Mdungu
13 Novemba 2023

Mtoto anapokuwa ndani ya mfuko wa uzazi huwa ndani ya kifuko kilichotengenezwa na kiwamba maalumu chenye maji yanayomlinda mtoto. Ikiwa kiwamba hicho kitapasuka kabla ya wakati, inaweza kuwa hatari kwa maisha ya mama na mtoto. Makala ya Afya yako inaangazia hilo.

https://p.dw.com/p/4YjbH