1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Harakati za kupinga dhuluma kidigitali Kenya

Wakio Mbogho / MMT25 Julai 2023

Nchini Kenya teknolojia inatumika katika kupinga dhuluma za kijinsia, waathiriwa na jamii kwa ujumla wake ni miongoni mwa wanufaika wa mfumo huu wa kidigitali katika kuhifadhi haki za binadamu. Katika makala ya Sema Uvume hili ndilo tunalijadili.

https://p.dw.com/p/4UO4d